04 January 2013

UJENZI


Tingatinga la Kampuni ya Ujenzi kutoka  Ujerumani STRABAG likisawazisha vifusi kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Bibi Titi, Kisutu Dar es Salaam hivi karibuni. Kukamilika kwa mradi huo kutapunguza tatizo la usafiri jijini. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment