04 January 2013

SHUKRANI TCRA


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akitoa shukrani mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kwa wadau wote kwa ushirikiano mzuri wakati wa uzimaji wa mtambo wa analojia na uwashaji wa mtambo wa dijitali jijini mwanzoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa mamlaka hiyo, Bw. Innocent Mungy na Mkurugenzi wa Huduma za Utangazaji, Bw. Habb Gunze. (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. TCRA bado hamjaweza kusimamia sheria ambayo imeweka wenyewe ya vingamuzi kuonyesha local zote bado haijawezekana ni siasa tu

    ReplyDelete