15 January 2013

MALALAMIKO


Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki za Kubeba Abiria 'Bodaboda' mkoani Mbeya, Bw. Idd Ramadhan, akizungumza na Wanachama wa umoja huo jana, wakati wa kutoa tamko kuhusu kusudio la kutaka kumpeleka kumshtaki Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kutokana na madai kuwa aliwatuhumu kupewa rushwa, Bw. Joseph Mbilinyi. Kushoto ni  Katibu wa umoja, Bw. Ernest Mwaisango. Picha na Charles Mwakipesile

No comments:

Post a Comment