Mkazi wa Keko Machungwa Bondeni, wilayani Temeke, Bw. Laurent Makinda akikunja suruali, wakati akipita kwenye maji yaliyofurika na kuzingira nyumba yake, Dar es Salaam jana na nyingine 19 ambazo hazijalipwa fidia ya kuhama katika eneo hilo baada ya kampuni (jina tunalo) kujenga maghala na kusababisha kuziba mkondo wa maji. Eneo hilo limekumbwa na mafuriko yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment