22 January 2013

KIDANI


Mke wa Naibu Spika wa Bunge la la Korea Kusini, Bi. Han Myeong-Hee, akivishwa zawadi ya kidani na Bw. Martin Malim (kushoto), wakati alipotembelea Chuo cha Elimu ya Ufundi Stadi (VETA) cha Kipawa, Dar es Salaam jana. Picha na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment