Mkazi wa jiji (ambaye hakufahamika jina) akiwa amebeba baiskeli mbili, kama alivyokutwa na mpigapicha wetu eneo la Kariakoo Dar es Salaam jana, wakati akisaka usafiri. Kumekuwapo na tatizo la usafiri katika jiji hili katika kipindi hiki cha mvua za vuli. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment