22 January 2013

AJALI


Madereva na abiria wakiyaangalia magari, mara baada ya kugongana eneo la Mtoni Msikitini Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam jana. Uzembe wa baadhi ya madereva unasababisha ajali zinazochangia madhara kwa abiria na uharibifu wa mali. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment