Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), wakisaidiana na watoto kupakia katika gari vyakula mbalimbali vilivyotolewa na kampuni hiyo, Dar es Salaam jana, ili kuwasaidia watoto wanaolelewa katika vituo vya watoto yatima vya Chamanzi Mbagala, Fimale Youth Kibaha, mkoani Pwani na Tandika Dar al alkan ili kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya.(Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment