20 December 2012

VIATU


Mteja akichagua viatu katika eneo la maegesho ya magari Ilala, Dar es Salaam jana, kama alivyokutwa na mpigapicha wetu, Eneo hilo lilitengwa kwa ajili ya kituo cha daladala na kuegesha magari lakini usimamizi wa mradi huo umekwama kwa muda mrefu. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment