21 December 2012

HATARI


Mjasiliamali wa matunda akiuza maembe kando ya shimo lililo wazi, kama alivyokutwa na mpigapicha wetu Barabara ya Msimbazi, Dar es Salaam jana. Tabia hii inaweza kuhatarisha  usalama wake na wateja.(picha na Anna Titus)

No comments:

Post a Comment