Mshauri wa mtandao wa maji safi katika mamlaka ya maji safi na taka(SOUWASA) Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Waiton Nyadzi, akionyesha chanzo cha mto Luhira jinsi gani kinavyozidi kupoteza maji yake kutokana na kile alichosema ni sababu ya mabadiliko ya tabia nchi na shughuli zinazofanywa na binadamu zisizo rasmi. upande wa kushoto ni mhandisi wa mipango na ujenzi Jaffary Yahya. (Picha na Kassian Nyandindi)
No comments:
Post a Comment