05 July 2012

UZINDUZI

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, mkoani Mbeya, Bw. Philipo Mulugo (katikati), akizindua kisima cha maji kwenye Kijiji cha Mkwajuni, wilayani Chunya. Kisima hicho kimejengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Sabodo Foundation iliyojitolea kujenga visima 17 jimboni humo ambavyo vitagharimu zaidi ya sh. milioni 300. (Picha na Rashid Mkwinda)

No comments:

Post a Comment