23 July 2012

PENDEKEZO

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Iblahim Lipumba, akizungumza na wandishi wa habari(hawapo pichani), Dar es Salaam juzi, kuhusu ajali ya kuzama kwa Meli ya Mv. Scargat ya Kampuni ya Seagul na kuitaka Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliosababisha tukio hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uenezi na Haki za Binadamu wa chama hicho Bw. Abdul Kambaya. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment