17 July 2012

MGAMBO


Mgambo wa Manispaa Ilala, wakitumia minyororo, kufunga tairi za gari aina ya Toyota, T 553 AKX, lililokutwa limeegeshwa kando ya Barabara ya Sokoine, Dar es Salaam jana. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment