Wazee wa Kamati ya Muafaka ya Yanga wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo Davis Mosha Mikocheni kwa ajilin ya kumpa pole baada ya kufiwa na Baba mkwe wake Mzee Malick Said Kiongoli.Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho nyumbani kwake Kibaha,Pwani.(Picha na Elizabeth Mayemba)
No comments:
Post a Comment