Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Balaza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein, alipokua akizungumza na wahariri na wahandishi wa habari wa vyombo vya habari mbalimbali vya Bara naVisiwani, kuhusu vurugu za kundi la uhamsho zilizotokea visiwani humo kwa siku tatu mfululizo (Juni 26,27 na 28 mwaka huu).Mazungumzo hayo yalifanyika mjini Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu hivi karibuni ambapo Serikari ilisisitiza vurugu hizo kusitishwa mara moja.
VIONGOZI MULOBAKIA WENYE MAADILI YA HAYATI BABA WA TAIFA NA MAREHEMU ABED AMAN KARUME WALIOAMINI KUHESHIMU DINI ZOTE BILA UBAGUZI BILA KUKAZIA MISINGI ILIYOACHWA MUKIACHIA VIJANA HISTORIA ITAWAHUKUMU MUSIWE KAMA MIKHAIL GORBACHEV ALIYESAMBARATISHA USSR AMBAPO URUSI NI MUASI HUKO MARIKANI NI SHUJAA
ReplyDelete