Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Hassani Mwinyi, akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Mariana Njelekela (kushoto) tuzo ya ushirikiano mzuri wa kazi, wakati wa ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani kwa Tawi la hospitali hiyo lililozinduliwa Dar es Salaam jana, (katikati) ni Mwenyekiti wa Chama cha Wauguuzi Tanzania (TANA), Dkt. Paulo Magesa. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment