04 May 2012

MKUTANO

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibra Bw. Ali Juma Shamuhuna akizungumza na wananchi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, ili awasalimie wananchi wa Matemwe Kigomani, wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi madarasa mpya katika shehia hiyo. Rais alikuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya kijamii Wilaya ya Kaskazini A. (Picha Ikulu Zanzibar)

No comments:

Post a Comment