Mwenyekiti wa Zabuni za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Ludovic Mrosso (kulia), Mkurugenzi wa Mipango na Vitega Uchumi vya shirika hilo, Bw. Yakob Kidula (kushoto) na Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi. Eunice Chiume, wakijadiliana jambo, wakati wa semina, ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kuhusu sheria ya manunuzi ya mwaka 2011, Bagamoyo, mkoani Pwani juzi. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment