Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom, Rukia Mtingwa (wa pili kulia) akimkabidhi Miss Tanzania 2011, Salha Israel (wa pili kushoto) funguo za gari lake la zawadi aina ya Jeep, lililotolewa na kampuni hiyo Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga na Meneja Mauzo wa DT Dobie, Alfred Minja. |
No comments:
Post a Comment