| Meneja Mauzo wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Emmanuel Mongella (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma binafsi iitwayo "Packaged Solutions", Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma Binafsi na za Biashara Bw. Douglas Kamwendo na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano Bw. Abdallah Singano. |
No comments:
Post a Comment