| Balozi wa Afrika ya Kusini, Bw. Henry Chiliza, akiweka shada la maua kwenye moja ya makabuli ya wapigania uhuru wa nchi hiyo, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano na kumbukumbu ya mapambano ya ukombozi Kusini mwa Afrika, yaliyofanyika kwenye kambi ya Dakawa, mkoani Morogoro juzi. |
No comments:
Post a Comment