Na Timothy Itembe Tarime Mara
MKAZI wakijiji cha Nyanduga wilayani Rorya Mkoani Mara amelelemikia baraza la Ardhi na Nyumba la wilayani Tarime kuwa halikumtende haki katika shauri la kesi yake ya Ardhi No 117,2010 kuhusu kukaza rufaa
Mkazi huyo ambaye ni Lameck Olwal amelalamikia baraza hilo kuwa halikumtendea haki kwenye hukumu ya kesi mpya iliyo funguliwa na Ndugu zake na mdai wake wa zamani kuhusu shauri hilona kuacha kukaza hukumu kufuatia agizo la msajili wa baraza la Ardhi na Nyumba kanda ya ziwa kuagiza ashugulikiwe
Akisimulia tukio hilo alisema awali alifungua kesi hiyo katika baraza la Ardhi la kata ya Koryo shauri No 25,2010 la kudai Ardhi ya makazi yake kuvamiwa na Julius Obuya wakijijini hapo ambapo katika baraza hilo kusikiliza pande zote mbili shauri hilo Olwal alishinda kuwa yeye ndiye mmiliki halali waeneo hilo na kupewa barua kuipeleka baraza la Ardhi na Nyumba la wilayani kukaza hukumu
Alipoulizwa mwenyekiti wabaraza hilo Lukas magwayega kuhusu tuhuma zinazo mkabili hakuwa na jibi la kujibu badala yake alisema kamuulize huyohuyo.
No comments:
Post a Comment