Meneja wa Bia ya Kilimanajaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Maku ya Kampuni ya Bia Tanzania Jijini Dar es Salaam jana kuhusu Mbio za bendera ya Taifa ambazo ni sehemu ya Kampeni ya Kilimanjaro Jivunie utanzania. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Riadha Tanzania, Suleiman Nyambui na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Alta Vista Events. (Picha kwa Hisani ya Executive Solutions).
No comments:
Post a Comment