01 November 2011

...........................................

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufungua tawi la Benki ya PBZ Chake Chake, Visiwani Pemba jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa benki hiyo  Bw. Juma Amour na Kaimu Waziri wa Fedha Bw. Mwinyihaji Makame.

No comments:

Post a Comment