01 November 2011

...........................................

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alipokaribishwa nyumbani kwa mmoja wa wakazi wa Magomeni Kota ambao wameanza kuhama kupisha ujenzi wa nyumba za kisasa. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni Bw. Yusuph Mwenda

No comments:

Post a Comment