01 November 2011

...........................................

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Msechu (kushoto) na Mkurugenzi wa Benki ya NBC Bw. Lawrence Mafuru wakibadilishana hati ya makubaliano ya mikopo ya nyumba kwa mabenki saba, Dar es Salaam jana. Wanaoshuhdia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Bw. Kisogukewele Msita.

No comments:

Post a Comment