| Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Ruvuma, wakiangalia kitambulisho cha raia wa Tanzania mwenye asili ya Somalia Bw. Harbi Ismail Katoto (kulia), nje ya Kituo Kidogo cha Polisi Standi kuu ya Mabasi Mjini Songea jana, baada ya kumtilia shaka kutokana na tishio la mashambulizi la kundi la Al Shababi kutishia kulipua baadhi ya maeneo ya nchi jirani ya Kenya. |
No comments:
Post a Comment