05 October 2011

............................................

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta Binafsi ya Jamii Bi,Irene Isaka akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,alipofanya ziara kwenye ofisi za Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF)ili kujifunza kuhusu mpango wa hiari wa kujiwekea akiba uzeeni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo, Bw.Daudi Msangi na Meneja  Masoko, Bw.Aloyce Ntukamazina

No comments:

Post a Comment