19 September 2011

.......................................................

Mgombea ubunge wa Jimbo la Igunga kupitia CUF, Bw. Leopold Mahona (Kulia) akisalimiana na Bi. Elizabeth Maduhu anayeuza bidhaa katika soko Kuu la Igunga, baada ya kuamua kuomba kura
sokoni hapo juzi.

No comments:

Post a Comment