15 September 2011

.......................................................

Rais wa Shirikisho la Jumuia ya Waislamu wa Khoja Shia Ithna-Asher Afrika Mashariki, Alhaj Anwarali Daramsi (kushoto) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 30, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kusaidia waliopatwa na maafa ya kuzama kwa meli ya MV. Spice Islander katika eneo la Nungwi, Zanzibar wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment