20 September 2011

....................................................

Basi dogo Hiace namba T507 BPE likiwa ndani ya mtaro Barabara ya Kilwa Mbagala Zakhiem Dar es Salaam mwishoni mwa wiki baada ya dereva kushindwa kulidhibiti lilipogongana na pikipiki ya magurudumu matatu maarufu bajaj ambayo haikusimama baada ya ajali hiyo.

1 comment:

  1. Mitaro hii ni makaburi. Hivi nani aliruhusu ujenzi wa namna hii wa mitaro? Bila shaka ni Maghufuli. Hivi waziri hukuona kwamba watu watakufa kwa mitaro ya aina hiyo. Unakimbilia kuwambia watu waboe tena bila kulipwa fidia unasahu kwamba unasababisha vifo kwa kuidhinisha ujenzi wa barabara zenye mitaro kama hiyo. Hebu toa banzi katika jicho lako kwanza. Usiwaonee na kuwadhulumu maskini.

    ReplyDelete