08 September 2011

.......................................................

Mshambuliaji wa Yanga, Davis Mwape (kushoto) na Salvatory Ntebe wa Mtibwa Sugar, wakiwania mpira wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, jana. Timu hizo zilitoka suluhu.

No comments:

Post a Comment