12 April 2011

Halmashauri Kuu CCM

Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM wakipiga kura kuchagua wajumbe wa kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma jana jioni.

4 comments:

  1. kumbe kujivua gamba maana yake ilikuwa wazazi (baba) kuacha uongozi na kuwakabidhi watoto wao kwa mtindo wa urithi wa kisultani kama alivyosema Sumaye! Tumekuelewa Sumaye.

    ReplyDelete
  2. Hili joka linalojivua magamba baada ya kututafuna vilivyo, tusipokuwa makini likimaliza kazi hiyo litatumeza kabisa. Kwa muujibu wa maandiko ya Kitabu Kimojawapo cha Maandiko Matakatifu Joka au nyoka ni Shetatani! Na ukiangalia kwa makini mwenendo mzima wa hili joka linalojivua magamba, ni ushetani mtupu kwani mambo yao ni ya usirisiri sana ili kuliangamiza taifa! Angalia mikataba inayofanywa na hili joka! Hakuna anayeruhusiwa kuiona wala kuhoji. Watanzania wenzangu, Mungu ametudhihirishia wazi kuwa hawa ni mashetani na wamejitangaza wenyewe! Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone na mwenye akili na ajue hili!

    ReplyDelete
  3. KAMA ISSUE NI UFISADI BASI MTU WA KWANZA KUONDOKA NI KIKWETE KWA SABABU YEYE ALIINGIA MADARAKA KWA PESA ZA UFISADI WA EPA

    ReplyDelete
  4. Nduli ni Nduli tu. Baada ya kuvua gamba (Makamba na wenzake) bado ni Nduli tu.

    Sasa watanzania wakae mkao wa kumezwa na Nduli bila huruma

    ReplyDelete