01 August 2012

RAMBIRAMBI

Meneja Masoko wa Kinywaji cha Grand Malt, Fimbo Buttalah (kulia) akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally  Idd hundi ya sh. milioni tano za rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grand Malt ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar na Chama cha Soko Zanzibar (ZFA). Kushoto ni Makamu wa Rais wa ZFA Kassum Suleman akipeana mkono na Balozi Idd na pembeni yake ni Meneja wa Grand Malt Consolata Adam. Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment