Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) Profesa, Samuel Wangwe, akisoma taarifa wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) yanayofanyika mikoa yote nchini.Chuo hicho kilianzishwa na Serikali ya Awamu ya Pili mwaka 1992 ili kuwawezesha wananchi waliokosa elimu ya ngazi hiyo kujiunga. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment