Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bw. Lazaro Nyalandu (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana mara baada ya kutembelea Kiwanda cha Unga wa Mahindi cha Azam. Kulia ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Bw. Hussein Sufian. |
No comments:
Post a Comment