Maofisa wa ubalozi wa Tanzania wanaofanya kazi katika balozi mbalimbali duniani wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (hayupo pichani) baada ya kufungua mafunzo ya kujengeana uwezo kwa maofisa wa ngazi za ubalozi, Dar es Salaam jana. |
No comments:
Post a Comment