Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mke wa Balozi Juma Mwapachu, Bi. Rose Mwapachu wakati alipofika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam juzi kumpa pole kufuatia kifo cha mtoto wake, Harith Mwapachu kilichotokea Oktoba 11, 2011. |
No comments:
Post a Comment