Mwenyekiti wa Taasisi ya Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana ya Junior Achievement Tanzania (JAT), Bw. Rashid Mbuguni (kulia) akizungumza jana wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani Dar es Salaam wanaokwenda nchini Ghana kwa mashindano ya ujasiliamali kwa shule mbalimbali za Afrika. Wengine pichani ni wanafunzi wanaokwenda Ghana. |
No comments:
Post a Comment