Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Hawa Ghasia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru na 12 ya kifo cha Muasisi wa Taifa la Tanzania, Mw. Julius Nyerere yatakayofanyika Dar es Salaam kesho kutwa. |
No comments:
Post a Comment