15 August 2013

TBL YALIPA VAT SERIKALINI BIL.345/- Na Reuben Kagaruki
KAMPU NI yaBia Tanz ania(TBL)imeend eleak uwamoja ya vyanzoviku uvyamapa toyaSerikali kwaku lipa kodiya Ongeze kol aThamani(VAT) ya sh. bilioni345 k wa mwak a.Ha yoyalisemwaDar e sSalaamjanana Mwenyeki ti waB odi ya Wakuru genziyaTBL , Waz iri MstaafuCleopa Ms uya,wakatiwaMkutano w a wana hisa.

Alisemamalipohayoni ongezeko laasilimia 10.6za idi yamwa kaul iopita. “Kiwang ohiki ni sawana upu ngufu waasilimia16yaushuruwalengolilil owekwa na Se rikali,” alisemaMsuy a.Aliba inishakuwa fedha taslimu zilizotokana na uendeshaji zilifika sh.bilio ni311. Kwam ujibuwaMs uyaka tikafedha hizo, sh. bil ioni 70z ili tumika kulipiakodi yakampun inazilizobaki zilitu mikakwaa jili yakulipa riba, mtaji na kulip agawio .
“Bodii liid hinisha gawiola kihistori alash. 300kwa h isaambayoiliku wa kiasic haasilimia zaidi ya 50yagawi ola mwakajana,”alisema.Aliwaambia wajumbe wa mkuta nohuokuwaubora wa bidhaana ubore shaji h udumakwawatejavimeen deleaku wa sehemumadhu buti yamalen gonadhamira kwa wateja wa kampuni kwa wateja wake.
Kwamuj ibu w aMsuya, Tan zania Distille riesLTDi meendeleakuwana kiwango kizuri katika uzalishaji ambapo mwishonim wamwaka ulikuwakwa asilimi a17.4 .“Kwamwaka huuu lishuhudia kuzind uliwakwa MwanzaTraditional Beer,k iwandachakuzalisha kinywaj isafi cha bei nafuukwakufikiaasilim ia1 65kwamwak a iki lingani shwana mw aka jana.
Kwa upande wa mwaka huu ali sema w ameende leanajuhudi zakufikiamalengowal iyoj iwekeakwa kutumia uong oziwa mfu mowamotishakwanga zizoteza kiutendaji ka tikakamp uni.Alisemana mnampya ya kiutenda ji yarasil ima li wa tuimesaidiaubore shajiwafursaza rasi limali wa tunamuelekeo mzima washughuliza ki utendaji.
Kwa kipindi kijacho, alisema ufanisi wakampun iyaTBLutategemea uchumie nde levu, kiwang o chaongezekolaushuru,, bei yamafuta , gharama za umemenamaji,kupan uka kwamt and aowa mi undom binunat hama niyasar afuyaTanzania.
“ Katika mazingira haya naamini kuwa t ukiunganishap amoja utendaji wetu,uwajibikaji wetupamojanafursa hizi ,tuta hakikisha kuwa ka mpuni yaT BLitaibukakuwaimarazai di n a kuweza kuhimiliushind anikwamaslahi yawanahisa, wadauwabiashara na uchumi kwa ujumla ,”al isema.Kwaupandemwingine , Msuyaalisema matokeo mazuri yakampuni yameto kanana mchangowak ila mmojakama mabalozi wa zur iwakampuni.

No comments:

Post a Comment