Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ilala ya jijini Dar es Salaam, wakisubiri huduma ya muuzaji wa mayai (kushoto), ambapo yai moja huuzwa shilingi 300 kama walivyokutwa jana, ni vema kuzingatia kanuni za afya kabla ya kutoa huduma husika ya kuuza chakula ikiwa ni pamoja na kupima afya. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment