Msanii wa filamu nchini, Mohamed Nice 'Mtunisi' (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakitoa tamko kuwa wameungana kupambana na wezi wa kazi zao za sanaa. Katikati ni msanii Mahsin Hawadh' Dokta Cheni na kushoto ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. Picha kwa hisani ya blogu ya Burdan
No comments:
Post a Comment