Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo (CEGODETA), Bw. Thomas Ngawaiya, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu adhabu kwa wabunge wanaokiuka maadili na kanuni za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kugeuzwa kijiwe cha kupigana vijembe. Kushoto ni Mkurugenzi wa miradi ya elimu ya Siasa Bw. Hamad Tao. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment