20 July 2012

MSAKO


Meneja wa Hosteli ya Taasisi ya Hubert Kairuki, Bw. Alex Buberwa (kulia), akifafanua jambo mbele ya askari polisi baada ya jengo la hosteli hiyo kutuhumiwa kutumia umeme kwa njia zisizo halali, wakati wa operesheni ya kuwasaka wateja wanaohujumu mita kwa lengo la kuliibia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kaskazini, Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment