Baadhi ya wananchi mjini Kahama Mkoa wa Shinyanga wakiwa wamenyoosha mikono kwenye Uwanja wa halimashauri hiyo jana,ili kuomba kuruhusiwa kutoa maoni yao mbele ya Tume ya Kukusanya maoni juu ya uundwaji wa Katiba Mpya.Hata hivyo tume hiyo ilianza kazi wilayani hapa rasmi jana.Picha na Patrick Mabula.
HIMA WATANZANIA WOTE KILA MTANZANIA ANA KERO ZAKE HAKUNA SABABU MWENYE KERO ZAKE AKULAZIMISHE UACHE ZAKO UELEZEE ZAKE MUSIKUBALI KULISHWA MATANGO PORI KATIBA HII SI YA KIZAZI CHA LEO TU NI ENDELEVU NI YA KIZAZI CHA LEO KESHO NA KESHO NA KESHO KUTWA WANAHARAKATI HAO WANAAFADHILI WAACHE KWANI NI MAUTI KETU UKOLONI MAMBOLEO
ReplyDelete