Mtoto ambaye jina lake halikupatikana akiangua kilio baada ya karanga na mayai aliyokuwa akiuza kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Kawe kumwagika kutokana na upepo makali kama alivypnaswa na kamera yetu.Tukio hilo lilitokea jana ikiwa ni Siku ya Kupinga Utumikishwaji kwa Watoto Duniani yenye kauli mbiu "Haki za binadamu na usawa katika jamii tokomeza utumikishwaji wa watoto". (Picha na Blog ya Immatukio).
TUME YA HAKI ZA BINADAMU INAMSAIDIAJE MTOTO HUYU KATIKA MFUMO HUU WA UTANDAWAZI UBEPARI UKICHUKULIWA KAMA UNYAMA BINTI HUYO SASA YUKO KTK MAZINGIRA GANI??
ReplyDelete