Maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakisimamia uteketezaji wa pamba bandia za hospitalini zinazotumiwa na wanawake wajawazito na kufunga vidonda, baada ya kukamatwa kwenye Kampuni ya NEOMADIC eneo la Kariakoo, Mtaa wa Nyamwezi, Dar es Salaam jana. (Picha na Grace Ndossa)
No comments:
Post a Comment