02 December 2011

Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bw. Tarimba Abasi (kulia) akimkabidhi Bi. Doris Emanuel, Radio kubwa, baada ya kushinda droo ya kwanza, wakati wa uzinduzi wa bahati nasibu ya Taifa ya WINLOT Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment